Saturday, 7 September 2019

Sms za mahaba 9 nzuri kwa yule umpendaye.

Sms nzuri 9 za mahaba kwa yule umpendaye.

Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu!
*****
Najua unanipenda mpenzi wangu, lakini urembo wako unaniweka roho juu, angalia usihadaike na walaghai, napenda mpenzi wangu! Mwaaaa…
*****
Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda? Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yakon upo moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio naosema kuwa nakupenda, niamini mpenzi!
****