Album: Ibraah – Steps Ep | mp3 Download.

Album: Ibraah – Steps Ep | mp3 Download.
Kutoka kambi ya jeshi ya Konde Gang ambako ndiko anapatika first born wa ngome hiyo Ibraah anaetamba na hit yake ya Nimekubali kuna taarifa njema wa kwa mashabiki wake
Mara baada ya kuachi ngoma yake ya kwanza na rasmi kutambulika kama msanii wa kwanza wa Konde gang music worldwide, mashabiki wamempokea kwa moya kabisaa na hivyo kumfanya aendelee kufanya makubwa
Leo kupitia page ya C.E.O wa label hiyo Harmonize ametusanua kuwa msanii hiyo soon ataachia Ep yake ya kwanza kwenye maisha yake ya muziki iliyopewa kwa jina la STEPS EP itakayokuwa na ngoma Tano. ‘

1. NANI
DOWNLOAD: Ibraah – Nani | mp3 audio
2. SUBIRA FT SKIBII
DOWNLOAD: Ibraah Ft Skibii – Subira | mp3 audio
3. WAWA FT JOEBOY
DOWNLOAD: Ibraah Ft JoeBoy – Wawa | mp3 audio
4. NJIWA
DOWNLOAD: Ibraah – Njiwa | mp3 audio
5. ONE NIGHT STAND FT HARMONIZE
DOWNLOAD: Ibraah Ft Harmonize – One Night Stand | mp3 audio
	
	
	
	
	
	
	